INDIA;mbio katika kupata kiti cha kudumu katika baraza la usalama la umoja wa kimataifa
wataalam wa hali ya hewa duniani wakionesha kuongezeka kwa joto duniani ambapo sasa jukumu la jumuiya ya kimataifa inabidi liwajibike
Rais wa Tanzania Mh.Dk Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza jambo kwa umakini wa hali ya juu katika mkutano wa commonwealth; katikati ni mwenyeji wa mkutano huo ambaye ni waziri mkuu wa australia
CAIN; 'kujivua gamba' republican baada ya kashfa ya 'kimada' ndoto za kuwa mpinzani wa obama hatimaye zayeyuka
No comments:
Post a Comment