Kumekuwa na ubishan mkubwa juu ya ufumbuzi wa suluhu ya Libya.Matumizi ya nguvu yaliyotumiwa na NATO dhidi ya Libya yamelaumiwa na AU wakati huohuo umoja wa mataifa ukifumbia macho.
Karibuni mtoe mchango wenu nani alaumiwe?.
Hii ni blog ambayo itakuwa inajikita katika maswala mbalimbali ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, utamaduni, diplomasia, na hata burudani kutoka nje na ndani ya Tanzania, karibuni wote tujumuike katika kuleta maendeleo.
THE GREAT

Monday, October 31, 2011
Sunday, October 30, 2011
SHUKURANI NA DIBAJI
Napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa MOLA maana ndiye mweza na mwezeshaji wa yote tuyaonayo na tusiyoyaona.Pia wazazi wangu Bw. na Bi Kasyeta, Udom, Lecturers wangu wote,na marafiki na wapenzi wote wanaopenda kazi yangu ya uchambuzi wa diplomasia ya kimataifa.Kwa ujumla wao wanafunzi wanaosoma BA IR wa mwaka wa pili waliotutangulia kwa mchango wao wa kusaidia kuchambua mambo mbali mbali yahusuyo diplomasia ya kimataifa katika tathnia hii ya IR.
Kwa upekee kabisa shukurani ziwaendee brother K,ombo, Isaac A,Mwinjuma ,marafiki; Salehe,Kamzora,Lupyana,Michael,Kikoti,Lawrence,Ngosha Lwitiko na wengineo kwa kunitia moyo katika kufanikisha hili.NASEMA ASANTENI SANA.
aaaaaash nimemsahau kidosho wangu oshh!!

NI KUFA KWA DIPLOMASIA AU DIPLOMASIA TEGEMEZI
Ni jambo la kushangaza kuona matatizo mbalimbali yanaikummba dunia wakati wajuzi stadi katika uwanja wa diplomasia ya kimataifa wapo.Matatizo haya yanasababishwa na suala kiuchumi na siasa za dunia yaani world politics.Kwa nchi zilizoendelea hususani za magharibi diplomasia yake hutegemea sana nguvu za kijeshi na hii inajidhihirisha pale wanapotumia chombo chao mathubuti cha kujihami yaani NATO,kuhakikisha kuwa diplomasia yao ya kimataifa yenye manufaa ya kiuchumi inafanikiwa kwa nguvu za kijeshi.Wakati huohuo nchi za mashariki ya mbali kama china na zile za economic tigers hutumia nguvu za kiuchumi na bidhaa katika hali ya teknolojia ya juu kufanikisha diplomasia yao ya kimataifa, na hii pia inajidhihirisha pale wanapozalisha bidhaa nyingi haramu na sahihi yaani ubidhaaishaji [comparative advantage] na kuuza nje kwa bei nafuu.
Kwa hiyo katika kuhakikisha adhma yao inafanikiwa yaani katika kupata maeneo ya uwekezaji mkubwa wa mali ghafi, soko huru,na wafanyakazi rahisi husababisha mikwaruzano na migogoro ya kiuchumi [economic conflicts] ambayo yangeweza kusuluhishwa kidiplomasia tu [economic diplomacy].Ile nadharia ya ubinafsi imepitwa na wakati na sasa kuna utandawazi ambao ndio unaochochea matatizo duniani kwa maana isiyoeleweka[misconception and abuse of globalism] ,Diplomasia ya kimataifa imefifishwa sana na mambo haya na kufanya tathnia nzima ya diplomasia kufunikwa.Matokeo yake ni migogoro isiyoisha,vita vya kiraia na kati ya nchi na nchi,kuporomoka kwa soko la dunia [fall of world market],na kuporomoka kwa uchumi wa kidunia[international economy]nk, Nini kifanyike ni suala la nchi kuchukua hatua za kidiplomasia,katika kuhakikisha dunia inakuwa mahala pa usalama kwa maendeleo ya biashara na ustawi wa kiuchumi.

THE WAY I SEE
Dunia sasa inakoelekea sio mahala sahihi kutokana na kuwepo kwa kile kinachoitwa balance of power and millitarism na pia uwepo wa madaraja yaani lile la juu bora zaidi,la kati na chini ambalo ni duni kabisa.Hofu zaidi ni kuongezeka kwa nafasi yaani gape kati ya daraja ya chini kabisa ambayo ni duni na ile ya juu kabisa ambayo ni tajiri, ongezeko la kasi la mtikisiko wa kiuchumi duniani, nishati kuwa juu sana, chakula nacho kuwa juu.. na kile wanachokiita mapinduzi kuelekea utawala bora.Sasa ni kwamba dunia inaelekea wapi?
Mimi nionavyo ni kurudi kulekule tulikotoka katika kipindi vita vya dunia,ukoloni,na uhasama,chuki na ubinafsi.Nini cha kufanya ni jukumu la kila mmoja wetu kuokoa dunia,kwa kuhakikisha anatoa mchango wake wa kimawazo ili kuinusuru dunia ili iwe mahala pa amani na ustawi wa uchumi unaojumuisha watu wote na
mataifa yote duniani.

Subscribe to:
Posts (Atom)