THE GREAT

THE GREAT

Sunday, October 30, 2011

THE WAY I SEE

Dunia sasa inakoelekea sio mahala sahihi kutokana na kuwepo kwa kile kinachoitwa balance of power and millitarism na pia uwepo wa madaraja yaani lile la juu bora zaidi,la kati na chini ambalo ni duni kabisa.Hofu zaidi ni kuongezeka kwa nafasi yaani gape kati ya daraja ya chini kabisa ambayo ni duni na ile ya juu kabisa ambayo ni tajiri, ongezeko la kasi la mtikisiko wa kiuchumi duniani, nishati kuwa juu sana, chakula nacho kuwa juu.. na kile wanachokiita mapinduzi kuelekea utawala bora.Sasa ni kwamba dunia inaelekea wapi?
Mimi nionavyo ni kurudi kulekule tulikotoka katika kipindi vita vya dunia,ukoloni,na uhasama,chuki na ubinafsi.Nini cha kufanya ni jukumu la kila mmoja wetu kuokoa dunia,kwa kuhakikisha anatoa mchango wake wa kimawazo ili kuinusuru dunia ili iwe mahala pa amani na ustawi wa uchumi unaojumuisha watu wote na
mataifa yote duniani.

No comments:

Post a Comment